January 31, 2026

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025 HAYA HAPA

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 31,2026 limeweka hadharani matokeo ya mitihani ya kidato cha nne kwa mitihani iliyofanyika kuanzia Novemba 17,2025. 
Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Baraza, Prof. Said Mohamed.

No comments:

Post a Comment