January 25, 2026

DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU, ZANZIBAR



Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza  Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Zanzibar tarehe 25 Januari, 2025.





No comments:

Post a Comment