December 15, 2025

MAKAMU WA RAIS KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KAMPASI YA UDSM KAGERA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel  Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mkoa wa Kagera, itakayofanyika tarehe 15 Desemba 2025.

No comments:

Post a Comment