November 30, 2025

WAZIRI MKUU AKAGUA UHARIBIFU WA MAHAKAMA YA MWANZO MAJI YA CHAI, KITUO CHA MAFUTA CHA TOTAL

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 30, 2025, amekagua Mahakama ya Mwanzo iliyopo Maji ya Chai ambayo iliharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, mkoani Arusha.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Arusha kwa ziara ya kukagua uharibifu uliojitokeza kufuatia vurugu za Oktoba 29, 2025.

Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amosi Makalla.

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 30, 2025, amekagua Kituo cha Mafuta cha Total kilichopo Maji ya Chai ambacho kiliharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, mkoani Arusha.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Arusha kwa ziara ya kukagua uharibifu uliojitokeza kufuatia vurugu za Oktoba 29, 2025.

Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amosi Makalla.

No comments:

Post a Comment