November 14, 2025

RAIS SAMIA AMUAPISHA WAZIRI MKUU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika hafla iliyofanyika Chamwino Ikulu jijini Dodoma Novemba 14, 2025.






No comments:

Post a Comment