Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Burn Manufacturing Bi. Caroline Amollo ambayo inajihusisha na utengenezaji wa majiko ya nishati safi ya kupikia nchini Tanzania wakati wa mkutano wa pembezoni mwa Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba waUmoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP 30) unaofanyika katika Jiji la Belem, Brazil.
KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
.jpg)

.jpg)
No comments:
Post a Comment