KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
October 27, 2025
WAPIGA KURA 37,647,235 KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29, 2025
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,
Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza na wananchi wakati akisoma risala
yake kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotaraji kufanyika
Oktoba 29, 2025.
No comments:
Post a Comment