August 30, 2025

MGOMBEA MWENZA WA CCM BALOZI NCHIMBI AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA BUTIAMA

https://mrokim.blogspot.com/2025/08/mgombea-mwenza-wa-ccm-balozi-nchimbi_30.html?m=0


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kijijini Mwitongo,Butiama na kuzuru kaburi la mwasisi huyo wa Tanzania na CCM.

Dkt.Nchimbi ameingia mkoani Mara hii leo Agosti 30, 2025 akitokea mkoa wa Mwanza ikiwa ni katika harakati za kuomba ridhaa ya watanzania  katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa Kufanyika Oktoba 29, 2025.



No comments:

Post a Comment