August 22, 2025

KATIBU MKUU NCHIMBI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WA MIKOA NA WILAYA






Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa na Wilaya wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT)  wanaoudhuria mafunzo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, yaliyofanyika leo Ijumaa tarehe 22 Oktoba 2025, katika Ukumbi wa Kilimani Landmark, jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment