July 25, 2025

WAZIRI MKUU ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA UAE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 25,2025 ametembelea ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abudhabi.
Alipokelewa na Balozi wa Tanzania UAE  Luteni Jenerali Mstaafu,Yacub Mohmed na watumishi wa ubalozi huo.




 

No comments:

Post a Comment