July 20, 2025

WAZIRI MKUU AONDOKA NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI NCHINI BELARUS

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 20, 2025 ameondoka  kwenda nchini Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam aliagwa na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Pichani Waziri Mkuu wa mkewe Mary Majaliwa (katikati) wakizungumza na  Mkuu wa wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda kabla ya kuondoka. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 20, 2025 ameondoka nchini kwenda Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam aliagwa na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Pichani, Waziri Mkuu  akizungumza na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda kabla ya kuondoka.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 202025 ameondoka nchini kwenda Bellarus kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam aliagwa na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Pichani, Waziri Mkuu na mkewe Mary Majaliwa (katikati) wakisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda kabla ya kuondoka

No comments:

Post a Comment