Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya ‘Power of 100
Women Award kutoka kwa Uongozi wa Access Bank Group kutoka kwa Mwenyekiti wa
Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Access Tanzania Ndugu Protase Ishengoma Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Julai, 2025. Tuzo hii ambayo hutolewa kila baada
ya miaka mitano inalenga kutambua na kusherehekea wanawake wa Kiafrika wanaotoa
michango ya mageuzi kwa mataifa na jamii zao, kuhamasisha na kuhimiza kizazi
kijacho cha viongozi Wanawake katika bara zima la Afrika. Pia kupaza sauti za
Wanawake katika kuleta maendeleo endelevu ya Kiuchumi na kijamii barani Afrika.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Tuzo
Maalum ya ‘Power of 100 Women Award mara baada ya kukabidhiwa Ikulu Jijini Dar
es Salaam 08 Julai, 2025. Tuzo hii ambayo hutolewa kila baada ya miaka mitano
inalenga kutambua na kusherehekea wanawake wa Kiafrika wanaotoa michango ya
mageuzi kwa mataifa na jamii zao, kuhamasisha na kuhimiza kizazi kijacho cha
viongozi Wanawake katika bara zima la Afrika. Pia kupaza sauti za Wanawake
katika kuleta maendeleo endelevu ya Kiuchumi na kijamii barani Afrika.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Access Tanzania
Ndugu Protase Ishengoma pamoja na ujumbe aliombatana nao Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 08 Julai, 2025..jpg)

.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment