June 13, 2025

RAIS SAMIA AMTEUA MHE.JAJI WA RUFANI GEORGE MASAJU KUA JAJI MKU

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atamuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu Juni 15, 2025 Ikulu Chamwino Dodoma.

No comments:

Post a Comment