June 16, 2025

RAIS SAMIA AFUNGUA JENGO LA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU,


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi tarehe 16 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi tarehe 16 Juni, 2025.


Muonekano wa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu lililopo wilayani Bariadi tarehe 16 Juni, 2025.
Nana

No comments:

Post a Comment