May 05, 2025

ZITTO KABWE ACHUKUA FOM

Zitto Kabwe akizungumza na halaiki ya wananchi wa Kigoma mjini badaa ya kuchukua fomu.

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Ndg. Zitto Zuberi Ruyangwa Kabwe  amejitosa kuwania kuteuliwa na chama chake kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini katika uchaguzi Mkuu utakaofanyikia Mwezi Oktoba mwaka huu.
 
Zitto aliyepata kushika nafasi hiyo ya Ubunge kwa vipindi viliwi kuanzaia mwaka 2005 hadi 2015 akiwa ni Mbunge wa Kigoma Kusini naabaade kuamua kugombea jimbo la Kigoma Mjini akiwa na Chama cha Chadema na baadae kujiondoa uancahama alichukua fomu hioyo Mei 04,2025.
 
akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Bangwe Jimbo la Kigoma Mjini, Mei 04, 2025 ikiwa ni saa chache baada ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.
 
Zitto ambaye ni Msomi wa masuala ya Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ameamua kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.

No comments:

Post a Comment