May 13, 2025

TOA WAZO LA UBUNIFU WA KUONGEZA KODI UJINYAKULIE HADI MILIONI 50 KUTOKA TRA

Je!8 unawazo litakalo iwezesha Mamlaka ya Mapato Tanzania kuweza kuongeza wigo wa ukusanyaji Kodi? Basi kama unalo changamkia fursa hii ili uweze kunyakua tuzo ambayo inaenda na donge nono la hadi Milioni 50 za kitanzania na hamna hamna hukosi Milioni 20. Changamka sasa.


No comments:

Post a Comment