May 29, 2025

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MAALUM WA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia kabla ya kufungua Mkutano Maalum wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 29 Mei,2025.

Shamra shamra za Mkutano Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 29 Mei,2025. 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Mkutano Maalum wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 29 Mei,2025. 

No comments:

Post a Comment