May 17, 2025

RAIS SAMIA ABORESHA TAARIFA ZAKE KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionyesha kadi yake ya mpiga kura mara baada ya kushiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akioneshwa taarifa zake kama zipo sahihi wakati akishiriki  zoezi la uboreshaji wa taarifa katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma, kulia ni Mwendesha Kifaa cha Bayometriki Nicholaus Natay kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki  zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma, kulia ni Mwendesha Kifaa cha Bayometriki Nicholaus Natay kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi waliojitokeza kushiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment