KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
March 05, 2025
RAIS SAMIA AFUTURISHA VIONGOZI WADINI, WAZEE YUMO MZEE MPILI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Machi, 2025.
Viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam 05 Machi, 2025.
No comments:
Post a Comment