ETDCO yashiriki Maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani
BabaWafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme ( ETDCO) wameshiriki sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kitaifa jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment