February 23, 2025

RAIS SAMIA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkata, katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni mkoani  Tanga tarehe 23 Februari, 2025.

Wananchi wa Mkata wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni mkoani  Tanga tarehe 23 Februari, 2025.

No comments:

Post a Comment