KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
February 08, 2025
NAIBU WAZIRI WA MADINI DKT. KIRUSWA KUNOGESHA BONANZA LA MADINI
Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Bonanza la Madini linaloshirikisha Wizara ya Madini na Taasisi zake linaloendelea katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlini jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment