MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA MSUMBIJI DANIEL CHAPO.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Msumbiji Daniel Chapo kwenye makazi ya Rais, Ponta Vermelha, Maputo nchini Msumbiji. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za uapisho zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru, Maputo Januari 15, 2025.
No comments:
Post a Comment