October 04, 2024

RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI AZUNGUMZA NA RAIS WA KAMPUYNI YA SAMSUNG IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Kampuni ya Samsung C&T Corporation ya Korea Kusini Mhe.Oh Se -Chul akiwa na ujumbe wake (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-10-2024 na (kushoto kwa Rais) ni baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana  na mgeni wake Rais wa Kampuni ya Samsung C&T Corporation ya Korea Kusini Mhe. Oh Se-Chul, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-10-2024.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment