October 13, 2024

RAIS SAMIA ATEMBELEA SOKO KUU LA DHAHABU GEITA MKOANI GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu Maabara ya kisasa ya  dhahabu iliyopo katika Soko Kuu la Dhahabu Geita mara baada ya kuwasili Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Bw. Mussa Waziri kuhusu Maabara ya dhahabu iliyopo katika Soko Kuu la Dhahabu Geita mara baada ya kuwasili Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024. 

Muonekano wa Soko Kuu la Dhahabu Geita lililopo Mkoani Geita. 
 
No comments:

Post a Comment