Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mjadala (round
tables discussion) kuhusu Kilimo Barani Afrika pamoja na Nishati Safi ya
Kupikia katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 30 Oktoba,
2024. Kushoto ni Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt.
Akinumwi Adesina akimsikiliza. Rais Dkt. Samia alishiriki mjadala huo kando ya mjadala
wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung ambao umeandaliwa na Taasisi ya World Food
Foundation.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye mjadala
(round tables discussion) kuhusu Kilimo barani Afrika, katika Mji wa Des
Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 30 Oktoba, 2024. Mjadala huo ambao
uliandaliwa na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) ulihudhuriwa na viongozi
mbalimbali kutoka barani Afrika, Serikali na Sekta binafsi ya Marekani hususan
waliopo kwenye sekta ya kilimo.

Viongozi mbalimbali wakifuatilia mjadala kuhusu Kilimo Barani Afrika katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani kando ya mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung ambao umeandaliwa na Taasisi ya World Food Foundation tarehe 30 Oktoba, 2024.

No comments:
Post a Comment