October 15, 2024

MAJALIWA, KIKWETE WASHUHUDIA MTANANGE WA STARS NA CONGO

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa akishuhudia mchezo kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) na Timu ya Taifa ya Congo wa kuwania nafasi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025.

Viongozi wengine wanaoshuhudia mchezo unaochezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Naibu Waziri Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma.


No comments:

Post a Comment