September 06, 2024

WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA SHIRIKA LA NYUMBA ALI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Ali linalojishughulisha na  kulea na kuhudumia watoto wenye ulemavu la Iringa, Bw. Zawadi Msigala, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Septemba 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Ali linalojishughulisha na  kulea na kuhudumia watoto wenye ulemavu la Iringa, Bw. Zawadi Msigala, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Septemba 5, 2024. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana  na  Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Ali linalojishughulisha na  kulea na kuhudumia watoto wenye ulemavu la Iringa, Bw. Zawadi Msigala,  baada ya mazungumzo ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Septemba 5, 2024. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika hilo, Adam Juma, wa pili kulia ni  Mkurugenzi Msaidizi, Paulo Mfuko na wa tatu kulia ni  Bruna  Fernan ambye ni Mwanzilishi wa Shirika hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment