September 06, 2024

RAIS SAMIA AMPANDISHA CHEO AFANDE DORA WA JESHI LA POLISI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Dora Kiteleki, leo Septemba 6,2024. 

IGP Wambura amemvisha cheo hicho baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kumpandisha cheo Septemba 5,2024.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimpongeza Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Dora Kiteleki, baada ya kumvisha cheo leo Septemba 6,2024. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akiwa katika picha na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Dora Kiteleki, baada ya kumvisha cheo leo Septemba 6,2024. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura (wanne kushoto) akiwa katika picha na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Dora Kiteleki, (katikati)  baada ya kumvisha cheo leo Septemba 6,2024. Wengine ni Maofisa wa Jeshi la Polisi. 

No comments:

Post a Comment