August 04, 2024

RAIS SAMIA AFUNGUA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA (KM 66.9) NA DARAJA LA RUAHA MKUU (M 133), MOROGORO

Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 pamoja na barabara ya Kidatu - Ifakara yenye urefu wa kilomita 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami ambalo leo tarehe 04 Agosti, 2024 imefunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na viongozi wengine wa Serikali wakivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 66.9) iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami na Daraja la Ruaha Mkuu (m 133) Mkoani Morogoro, tarehe 04 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa mara baada ya kufungua barabara ya Kidatu - Ifakara (km 66.9) iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami ina Daraja la Ruaha Mkuu (m 133), Mkoani Morogoro, tarehe 04 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa pamoja na viongozi wengine wa Serikali wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 66.9) iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami na Daraja la Ruaha Mkuu (m 133) Mkoani Morogoro, tarehe 04 Agosti, 2024.

No comments:

Post a Comment