August 27, 2024

KAMISHINA TRA ,MKURUGENZI BANDARI WATEMBELEA BANDARI YA TANGA.

KAMISHINA  Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)  Yusuph Mwenda akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Prasduce Mbossa Agosti  26,2024 wametembelea bandari ya Tanga.
Kamishna Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wamekubaliana kushirikiana kwa ukaribu zaidi ili kuongeza ufanisi kwenye shughuli za bandari na forodha  zitakazo ongeza mapato ya serikali.










No comments:

Post a Comment