KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
May 16, 2024
WAZIRI MKUU ATETA NA IGP WAMBURA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment