May 18, 2024

MALKIA WA NGUVU 2024 AKABIDHIWA TUZO NA WAZIRI MKUU


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Khadija Mfaume Liganga  tuzo ya Malkia wa Nguvu 2024, wakati ya hafla ya utoaji wa tuzo za Malkia wa Nguvu 2024, kwenye Ukumbi wa Tunza jijini Mwanza, Mei 18, 2024.

No comments:

Post a Comment