May 12, 2024

DAH! HUYU NI MIMI - MAJALIWA AFURAHIA PICHA YAKE YA KUCHORA



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakifurahia picha ya Waziri Mkuu waliyozadiwa na mchoraji wa picha hiyo Charles Vitusi Maembe, wakati Waziri Mkuu alipokagua gala la Kokoa na kuzungumza na wananchi katika kijiji cha Ipinda Wilayani Kyela Mkoani Mbeya Mei 12, 2024.

No comments:

Post a Comment