February 06, 2024

RAIS SAMIA AMTEUA BADRU KUWA MKURUGENZI MPYA WA PSSSF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Abdul-Razaq Badru (pichani) kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF). Kabla ya uteuzi huu Badru alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ( HESLB)
 

No comments:

Post a Comment