January 18, 2024

TUME YA MADINI YARAHISISHA UPATIKANAJI WA BEI ELEKEZI ZA DHAHABU NCHINI

 

Wadau wetu wapendwa,
Tunayo furaha kuwatangazia kwamba bei elekezi za kila siku za dhahabu sasa zinapatikana rasmi kwenye tovuti yetu www.tumemadini.go.tz


Our valued stakeholders,
We are delighted to announce that the daily indicative prices for gold are now officially accessible on our website www.tumemadini.go.tz

No comments:

Post a Comment