November 24, 2023

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA RUANDA-NYIMBILILI-HASAMBA-IZYOLA-ITUMBA WILAYANI MBOZI

Muonekano wa barabara  ya Ruanda - Nyimbili - Hasamba  - Izyola - Itumba  yenye  urefu wa Kilomita  76.69 wilayani   Mbozi mkoa wa Songwe ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake kwa kiwango cha lami, Novemba 24, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi katika kijiji cha Ruanda wilaya ya  Mbozi Mkoa wa Songwe baada ya kukagua ujenzi  kwa kiwango cha lami wa barabara  ya Ruanda - Nyimbili - Hasamba  - Izyola - Itumba  yenye  urefu wa Kilomita  76.69 , Novemba 24, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment