KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
September 05, 2023
WAZIRI ANGELLAH KAIRUKI BUNGENI DODOMA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb)
(kulia) akimsikiliza Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Marwa
akimuelezea changamoto mbalimbali za masuala ya uhifadhi na namna ya kuzitatua
Bungeni jijini Dodoma leo.
No comments:
Post a Comment