September 14, 2022

WAHANDISI SEKTA YA UCHUKUZI WATEMBELEA MAENEO YANAYOPATA CHANGAMOTO YA MAFURIKO

Mwenyekiti wa Kijiji cha Dabaro Omary Iddi, akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya mapendekezo ya ujenzi wa mabwawa katika maeneo yanayopata changamoto ya mafuriko na kuathiri miundombinu ya reli, Mkoani Dodoma .Wajumbe wa Kamati ya Mapendekezo ya Ujenzi wa Mabwawa katika maeneo yanayopata changamoto ya mafuriko na kuathiri miundombinu ya reli kipande cha Dabalo, Chalinze Buigili na Hombolo wakikagua eneo linalopendekezwa kujengwa Mabwawa hayo, Mkoani Dodoma.


No comments:

Post a Comment