September 05, 2022

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MAJENGO YA WIZARA MBALIMBALI KATIKA MJI WA SERIKALI - MTUMBA DODOMA

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu, wakati alipokagua  maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji wa Serikali-Mtumba, Dodoma Septemba 05, 2022.
Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji  wa  Serikali - Mtumba jijini Dodoma . Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  alikagua ujenzi huo, Septemba 5, 2022. 

No comments:

Post a Comment