August 21, 2022

SHAMBA/KIWANJA KINAUZWA KIBAMBA

Shamba/kiwanja kinauzwa Kibamba Hondogo,  panaitwa Kibamba Hondogo kwa Kong'wa.

Ni shamba/kiwanja kikubwa na kizuri sana. Unaweza kulima au kuweka nyumba ya kupanga / kuishi.
Ukubwa wake ni 45 kwa 40 i.e. zaidi ya nusu heka.

Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana na mmiliki kupitia 0789 24 23 96.

No comments:

Post a Comment