Katibu Tawala wa Uchumi na Uzalishaji Mkoa wa Dar es Salaam, Dr Elizabeth Mshote (kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Unilever Tanzania, David Minja kwa pamoja wakizindua muonekano mpya wa sabuni ya OMO iliyoboreshwa zaidi kwenye hafla fupi iliofanyika jijini Dar es Salaam.


No comments:
Post a Comment