August 08, 2021

TANZIA: MZEE AUGUSTINO MGONJA 'SHOGHOLO' AFARIKI DUNIA

 

Familia ya Mzee AUGUSTINO ONESMO MGONJA (SHOGHOLO) wa Pugu Kajiungeni inasikitika kutangaza kifo cha Baba yao kilichotokea Agosti 7,2021 katika Hospitali ya Dar Group jijini Dar es Salaam. 

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Marehemu Pugu Kajiungeni Dar es Salaam (Njia ya Manadani). 

Mwili unataraji kuagwa Agosti 9,2021 na kusafirishwa kwenda nyumbani kwao Kisiwani Same Mkoa wa Kilimanjaro kwa Maziko yatakayofamyika Agosti 10,2021. 

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.  

No comments:

Post a Comment