August 06, 2021

KIKWETE AHAMASISHA WANANCHI MIONO KUCHANJA

Mbunge wa Jimbo la chalinze, Ridhiwan Kikwete akizungumza na wananchi wa Miono, Chalinze Mkoani Pwani leo Agosti 6,2021 katikamuendelezo wa ziara yake katika Tarafa ya Miono kwa kufanya mikutano na Wananchi kuzungumza maendeleo ya maeneo yao na Kuhimiza umuhimu wa kujitokeza kupata Chanjo ya UVIKO 19 kwa wananchi.

Wananchi wakimsikiliza Mbunge wao.
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwan Kikwete (wapili Kulia) akipokea maoni ya wananchi wa Miono.
Wananchi wakitoa maoni yao.
Wananchi wakitoa keto zao kwa Mbunge

No comments:

Post a Comment