RAIS SAMIA AWASALIMIA WANANCHI WA KIBAIGWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kibaigwa
mkoani Dodoma wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara
ya kikazi ya siku mbili leo tarehe 07 Julai, 2021. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment