July 07, 2021

MKOMAZI WAZINDUA UTALII WA FARU

Moja ya Faru waliopo katika hifadhi ya Taifa ya Mkomazi ambapo leo  Julai 7,2021 Waziri wa Malisili na Utalii Dkt Damas Ndumbaro amezindua Utalii wa Faru katika Hifadhi 
hiyo iliyopo wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro ,uzinduzi uliofanyika katika eneo la Mbura lilopo ndani ya Hifadhi hiyo .




Uzinduzi ukifanyika 

Waziri wa Malisili na Utalii Dkt Damas Ndumbaro amezindua Utalii wa Faru katika Hifadhi ya Taifa Mkomazi iliyopo wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro ,uzinduzi uliofanyika katika eneo la Mbura lilopo ndani ya Hifadhi hiyo .

Bidhaa hii mpya ya utalii ndani ya hifadhi ya taifa ya Mkomazi inatajwa kuwa chanzo kingine cha mapato kwa hifadhi za taifa sambamba na kuitangaza hifadhi hiyo ambayo ni miongoni mwa hifadhi zinazosifika kwa mnyama Faru.

No comments:

Post a Comment