Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi, ndc akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Bunge yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi, Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar, kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Kadari Singo
No comments:
Post a Comment