November 15, 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA HAPA NCHINI WANG KE

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa China Nchini Tanzani Bibi Wang Ke nakufanya naye mazungumzo ya kikazi ofisini kwake Mjini Dodoma leo    Novemba 15/2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisikiliza jambo kutoka kwa Waziri wa Mambo Yandani (Mbunge) Mwigulu Nchemba wakati wa  kikao cha Tisa cha Bunge leo Novemba 15/2017 Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment