Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kuanza
kwa ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kabyaile Misenyi Mkoani Kagera. Wengine katika
picha ni Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage, Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Vija Ajira na
Wenye Ulemavu Jenista Mhagama pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce
Ndalichako wakiwa wameshika utepe huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika
Kituo cha Afya cha Kabyaile Misenyi Mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maeneo ya
ujenzi wa kituo hicho cha Afya cha Kabyaile kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maeneo ya
ujenzi wa kituo hicho cha Afya cha Kabyaile kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
No comments:
Post a Comment