Kiongozi
wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe
akiaga mwili wa marehemu Kenan Mhaiki Rubani
Mtendaji mstaafu
wa wakala wa ndege za serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake
iliyofanyika Kunduchi, jijini Dar es
Salaam Januari 2 2017. Mwili wa marehemu umesafirishwa leo kwenda Songea
Mjini Mkoani Ruvuma kwa
mazishi yanayotayarajiwa kufanyika Januari 4, Makaburi ya Matogoro.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Leonard
Chamriho akitoa salamu kwa niaba ya serikali wakati wa ibada ya misa na
shughuli ya kumuaga Rubani na Mtendaji mkuu wa wakala wa ndege za
serikali (TGFA) marehemu Kenan Paul Mhaiki shughuli iliyofanyika
nyumbani kwake Kunduchi Dar es Salaam Januari 2 2017.Mwili wa marehemu
umesafirishwa jana na kwenda Songea mjini Mkoani Ruvuma kwa mazishi
yanayotarajiwa kufanyika leo Januari 4 2017 kwenye makaburi ya Matogoro.
|
No comments:
Post a Comment